Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

Afisi ya Mwanasheria Mkuu Zanzibar - AGCZ

Bendera ya Taifa

Sera ya Faragha

Afisi ya Mwanasheria Mkuu Zanzibar inaheshimu faragha ya watumiaji wa tovuti hii na inalinda taarifa zinazowasilishwa kupitia huduma za tovuti.


Taarifa Tunazokusanya

Tovuti inaweza kukusanya taarifa zinazowasilishwa kupitia fomu za mawasiliano, usajili wa kupokea taarifa, au matumizi ya huduma nyingine za mtandaoni.

Matumizi ya Taarifa

Taarifa zinazokusanywa hutumika kwa madhumuni ya kutoa huduma, kujibu maombi ya wananchi, kuboresha tovuti na kusambaza taarifa rasmi kwa umma.

Ulinzi wa Taarifa

Taarifa za watumiaji hulindwa kwa kuzingatia taratibu za usalama wa taarifa na hazitatolewa kwa mtu au taasisi isiyohusika bila msingi wa kisheria.