Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

Afisi ya Mwanasheria Mkuu Zanzibar - AGCZ

Bendera ya Taifa

Mapitio ya Sheria

Huduma ya Uchambuzi, Mapendekezo ya Marekebisho na Mapitio ya sheria


Mapitio ya Sheria

Muhtasari wa Huduma

Mapitio ya Sheria inahusisha kuchunguza sheria zilizopo, kuzilinganisha na mifumo ya kimataifa, na kutoa mapendekezo ya marekebisho ili sheria ziendane na mazingira ya sasa na kukuza utawala bora.

Majukumu Makuu

Kufanya Mapitio ya kitaalamu ya sheria.
Kutoa mapendekezo ya marekebisho ya sheria.
Kuchambua athari za sheria katika jamii.
Kushirikiana na taasisi za kitaifa na kimataifa katika mapitio na utafiti wa sheria.
Kutoa ushauri wa kisheria kwa Serikali.