Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

Afisi ya Mwanasheria Mkuu Zanzibar - AGCZ

Bendera ya Taifa

Habari na Matukio

Taarifa mpya na matukio muhimu kutoka Afisi ya Mwanasheria Mkuu Zanzibar.


Orodha ya Habari

Zimepatikana habari 10.

WAFANYAKAZI WAHIMIZWA USHIRIKIANO KATIKA KAZI 13 Aug 2026
Matukio 13 Aug 2026
Wafanyakazi Wahimizwa Ushirikiano katika Kazi

Dkt. Abdul-Nasser akabidhi majukumu kwa Mkurugenzi wa Rasilimali Watu, Utawala na Mipango Bi. Fatma Idd huku wakihimiza ushirikiano kwa wafanyakazi.

Mawakili Waongezewa Uwezo Katika Utendaji Kazi Wao 28 Jul 2026
Habari 28 Jul 2026
Mawakili Waongezewa Uwezo katika Utendaji Kazi wao

Afisi ya Mwanasheria Mkuu Zanzibar imetoa mafunzo ya mbinu za utafiti wa sheria kwa watendaji wake ili kuwaongezea maarifa na kuwajengea uwezo wa kufanya tafiti, kupata vyanzo vya taarifa na kuandaa ripoti za kitaalamu kwa lengo la kuimarisha utendaji wa kazi.

Serikali Yashinda Kesi Utaifishaji Mali Zilizohusisha Mapato ya Uhalifu 18 Jun 2026
Habari 18 Jun 2026
Serikali Yashinda Kesi Utaifishaji Mali Zilizohusisha Mapato ya Uhalifu

AGCZ na ZDCEA yapata ushindi katika Maombi ya Madai ya Na. 10 ya Mwaka 2024.

Mwanasheria Mkuu: Tutaendelea kupandisha Madaraja Mawakili 18 May 2026
Habari 18 May 2026
Mwanasheria Mkuu: Tutaendelea Kupandisha Madaraja Mawakili

Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Dkt. Mwinyi Talib Haji, amesema Afisi yake imewapandisha madaraja Mawakili wa Serikali Hamsini na Nane (58) kutoka wizara na taasisi mbali kuwawezesha mbali, ili kutekeleza vyema majukumu yao.

Mawakili Watakiwa Kujiongeza Kitaaluma kwenye Mikataba, Sheria za Kimataifa 20 Apr 2026
Habari 20 Apr 2026
Mawakili Watakiwa Kujiongeza Kitaaluma Kwenye Mikataba, Sheria za Kimataifa

Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Mhe. Dkt. Mwinyi Talib Haji, amewataka Mawakili wa Serikali kuwa na uelewa wa sheria za kimataifa, mikataba ya kifedha na mbinu za majadiliano wakati wa kutoa ushauri wa kitaalamu kuhusu mikataba ya mikopo ili kulinda maslahi ya Taifa.

Watumishi wa Umma Wahimizwa Kuchangamkia Fursa za Nyumba za Kisasa 14 Apr 2026
Habari 14 Apr 2026
Watumishi wa Umma Wahimizwa Kuchangamkia Fursa za Nyumba za Kisasa

Watumishi wa Umma Wahimizwa Kuchangamkia Fursa za ununuzi wa Nyumba za Kisasa Kupitia Mpango wa PSHS.

Waumini wa Dini ya kiislamu wasisitizwa kutenda mema hata baada ya Ramadhan 09 Mar 2026
Habari 09 Mar 2026
Waumini wa Dini ya Kiislamu Wasisitizwa Kutenda Mema Hata Baada ya Ramadhan

Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Dkt. Mwinyi Talib Haji amewanasihi waumini wa dini ya kiislamu kuendelea kutenda mema zaidi baada ya kumalizika kwa mwezi mtukufu wa Ramadhan ili kuthibitisha uchamungu wao.

Tasisi za Kisheria Zahimizwa Kutumia Mifumo ya Kielektroniki 11 Feb 2026
Habari 11 Feb 2026
Tasisi za Kisheria Zahimizwa Kutumia Mifumo ya Kielektroniki

Serikali imezihimiza Taasisi za Kisheria ikiwemo Mahkama, Afisi ya Mwanasheria Mkuu na Afisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka kutumia Mifumo ya Kielektroniki katika utendaji kazi zao ili kuleta ufanisi.

Wananchi Pemba Waishukuru AGC kwa Kuwapatia Elimu ya Sheria 06 Feb 2026
Habari 06 Feb 2026
Wananchi Pemba Waishukuru Agc kwa Kuwapatia Elimu ya Sheria

Wananchi wa Shehia ya Vitongoji na Kibokoni Kisiwani Pemba wameishukuru Afisi ya Mwanasheria Mkuu Zanzibar kwa kuwapa elimu ya kisheria, kwani hawakuwa na ufahamu wa kutosha wa mambo mambalimbali ya kisheria.