Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

Afisi ya Mwanasheria Mkuu Zanzibar - AGCZ

Bendera ya Taifa
Elimu ya Kisheria

Mwangaza wa Sheria

Soma makala na elimu ya kisheria kwa wananchi kuhusu haki, wajibu, sheria na taratibu mbalimbali.

Makala za Mwangaza wa Sheria

Zimepatikana makala 5.

Namna Watumishi Wanavyoweza Kupata Fao la Kuumia Kazini kutoka ZSSF
Uandishi wa Sheria
Namna Watumishi Wanavyoweza Kupata Fao la Kuumia Kazini kutoka Zssf

Makala hii inaelezea namna ya Watumishi wanavyoweza kupata Fao la kuumia kazini kutoka ZSSF

26 Jun 2026 Na Mwandishi Maalum-ZSSF
Soma Zaidi
Fahamu Utwaaji wa Ardhi na Vilivyoendelezwa kwa Maslahi ya Umma
Elimu ya Sheria
Fahamu Utwaaji wa Ardhi na Vilivyoendelezwa kwa Maslahi ya Umma

Makala hii inaeleza kuhusu taratibu za ulipaji fidia kwa wananchi pale haki yake ya matumizi ya ardhi inapochukuliwa na Serikali.

04 Apr 2026 Na Ali Hamad-Wakili wa Serikali
Soma Zaidi
Ufahamu Ukomo wa Madai ya Kisheria
Elimu ya Sheria
Ufahamu Ukomo wa Madai ya Kisheria

Makala hii inatoa ufafanuzi wa ukomo wa madai ili kuhakikisha kwamba madai yanawasilishwa kwa wakati Mahkamani na kuweza kupatikana haki.

04 Mar 2026 Na Safia Sultan-Wakili wa Serikali
Soma Zaidi
Uchaguzi na Namna ya Kuunda Serikali Zanzibar
Elimu ya Sheria
Uchaguzi na Namna ya Kuunda Serikali Zanzibar

Makala hii itajikita kuzungumzia uchaguzi wa Zanzibar baada ya Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964 hadi kipindi cha sasa na namna ya kuunda Serikali.

05 Jan 2026 Hamisa Mmanga, (Wakili wa Serikali Mkuu)
Soma Zaidi
Ifahamu Historia ya Mabaraza ya Kutunga Sheria Zanzibar
Elimu ya Sheria
Ifahamu Historia ya Mabaraza ya Kutunga Sheria Zanzibar

Makala hii inazungumzia kuhusu Historia ya Mabaraza ya Kutunga Sheria Zanzibar tangu kipindi cha Ukoloni hadi sasa.

15 Dec 2025 Na Ali Ali Hassan
Soma Zaidi