Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

Afisi ya Mwanasheria Mkuu Zanzibar - AGCZ

Bendera ya Taifa

Masharti ya Matumizi

Kwa kutumia tovuti hii, mtumiaji anakubali kuzingatia masharti na taratibu za matumizi ya taarifa na huduma zinazotolewa na Afisi ya Mwanasheria Mkuu Zanzibar.


Matumizi Sahihi

Mtumiaji anatakiwa kutumia tovuti hii kwa madhumuni halali na kwa kuzingatia sheria, kanuni na maadili ya matumizi ya huduma za mtandao.

Usahihi wa Taarifa

Afisi inajitahidi kuhakikisha taarifa zilizowekwa kwenye tovuti ni sahihi na za wakati. Hata hivyo, taarifa zinaweza kubadilika kulingana na mazingira au marekebisho ya kiutawala na kisheria.

Hakimiliki

Maudhui yote yaliyopo kwenye tovuti hii ni mali ya Afisi ya Mwanasheria Mkuu Zanzibar isipokuwa pale ilipoelezwa vinginevyo.