Upatikanaji wa Taarifa
Afisi ya Mwanasheria Mkuu Zanzibar inaweka wazi taarifa muhimu kwa wananchi, taasisi na wadau kwa kuzingatia sheria, taratibu na miongozo ya Serikali.
Taarifa Zinazopatikana
Wananchi wanaweza kupata taarifa kupitia tovuti hii, matangazo rasmi, nyaraka zilizochapishwa, machapisho, ripoti, miongozo na taarifa nyingine zinazotolewa kwa umma.
Maombi ya Taarifa
Mtumiaji anaweza kuwasilisha maombi ya taarifa kupitia njia rasmi za mawasiliano zilizowekwa kwenye tovuti hii.
Mawasiliano
Kwa maelezo zaidi, tafadhali tumia ukurasa wa mawasiliano au taarifa za mawasiliano zilizopo kwenye tovuti hii.
Wasiliana Nasi