Happy Maulid Day
Afisi ya Mwanasheria Mkuu inawatakiwa Waislamu wote kheri ya Siku ya Maulid.
24 Aug 2026Mkusanyiko rasmi wa picha za matukio, mikutano, majengo, viongozi na shughuli mbalimbali za Afisi ya Mwanasheria Mkuu Zanzibar.
Chuja kwa jina, mwaka, caption au maelezo ya picha.
Zimepatikana picha 23.
Afisi ya Mwanasheria Mkuu inawatakiwa Waislamu wote kheri ya Siku ya Maulid.
24 Aug 2026
Afisi ya Mwanasheria Mkuu inawatakiwa Waislamu wote kheri ya Siku ya Maulid.
24 Aug 2026
Mkurugenzi wa Idara ya Rasilimali Watu, Utawala na Mipango kutoka Afisi ya Mwanasheria Mkuu, Bi. Fatma Idd (katikati) akipongezwa baada ya kuhitimu masomo yake na kurejea kazini, kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Ushauri, Usimamizi wa Mikataba na Uhusiano na kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Mapitio na Utafiti wa Sheria.
13 Aug 2026
Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Dkt; Mwinyi Tlib Haji, akitoa ufafanuzi kwa Wajumbe wa Baraza La Wawakilishi katika ukumbi wa Baraza hilo, Chukwani Zanzibar.
12 Aug 2026
Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Dkt. Mwinyi Talib Haji akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Sheria wa Benki ya CRDB, Ndg. Pascal Mihayo baada ya kikao cha ushirikiano baina ya Taasisi hizo.
12 Aug 2026
Mhe. Rais
03 Jun 2026
Baadhi ya Mawakili wa Serikali wakibadilishana mawazo baada ya kumalizika kwa Shauri la Madai, Mahkama Kuu, Tunguu, Zanzibar.
12 Aug 2026
Mkurugenzi wa Idara ya Mapitio na Utafiti wa Sheria kutoka Afisi ya Mwanasheria Mkuu, Dkt. Abdul-Nasser Hikmany akitoa maelezo kwa Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba, Mhe. Rashid Hadid Rashid aliyefika katika Banda la Afisi hiyo katika maonesho ya Wiki ya Sheria, Gombani ya Kale, Chake Chake, Pemba.
12 Aug 2026
Naibu Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Ndg. Shaaban Ramadhan Abdalla (katikati) akiwa na washiriki wa mafunzo ya siku mbili kwa Mawakili wa Serikali yaliyohusu Misamaha ya Kodi.
12 Aug 2026
Mratibu wa Afisi ya Mwanasheria Mkuu Pemba, Ndg. Massoud Nassor Mohammed akimsikiliza mmoja ya Wananchi wa Shehia ya Vitongoji wakati Afisi hiyo ilipofika Shehia hiyo kutoa Elimu ya Sheria.
12 Aug 2026
Mwanasheria Mkuu, Dkt. Mwinyi T. Haji akihutubia katika kilele cha siku ya sheria.
14 Jun 2026