Dkt. Mwinyi Talib Haji
Mwanasheria Mkuu — Wasifu na Historia ya Kitaaluma
Elimu
Shahada ya Uzamivu (PhD) katika Sheria
IIUM Malaysia
2010–2013
Shahada ya Uzamili (MCL) katika Sheria
IIUM Malaysia
2005–2007
Shahada ya Sheria na Shariah
Zanzibar University
2000–2004
Stashahada ya Lugha
IKFL Zanzibar
1999–2000
Elimu ya Sekondari ya Juu (A-Level)
Lumumba Sec. School
1999
Astashahada ya Lugha
IKFL Zanzibar
1997–1998
Elimu ya Sekondari (O-Level)
Kidongo Chekundu
1991–1996
Elimu ya Msingi
Kidongo Chekundu
1983–1990
Historia ya Ajira
1
Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar
— 2020 — sasa
2
Naibu Katibu Mkuu
— Wizara ya Mambo ya Nje
(Jul–Nov 2020)
3
Mkurugenzi
— Chuo cha Utumishi wa Umma
(2018–2020)
4
Mkurugenzi wa Masomo ya Uzamili
— Chuo Kikuu cha Zanzibar
(2013–2018)
5
Mhadhiri Mwandamizi
— Chuo Kikuu cha Zanzibar
(2012–2017)
6
Msaidizi wa Mhadhiri
— Chuo Kikuu cha Zanzibar
(2007–2012)
7
Mshauri wa Kisheria
— Wizara ya Maji na Ardhi
(2005–2007)
Imesasishwa mwisho:
Oktoba 2025