Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

Afisi ya Mwanasheria Mkuu Zanzibar - AGCZ

Bendera ya Taifa

Ndg. Shaaban Ramadhan Abdalla

Naibu Mwanasheria Mkuu — Wasifu na Historia ya Kitaaluma


Elimu

Shahada ya Uzamili (LLM in Maritime Law)
Lund University, Sweden
2007–2009
Shahada ya Sheria na Shariah
Zanzibar University
1999–2003
Elimu ya Sekondari ya Juu (A-Level)
Lumumba High School, Zanzibar
1995–1997
Elimu ya Sekondari (O-Level)
Muslim College, Zanzibar
1991–1994
Elimu ya Msingi
Mwembeladu Primary School, Zanzibar
1983–1990

Historia ya Ajira

1
Naibu Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar — 2021 — sasa
2
Naibu Mkurugenzi Mtendaji — Wakala wa Usajili na Matukio ya Kijamii, Zanzibar (2018–2021)
3
Msajili — Afisi ya Msajili wa Vizazi na Vifo, Zanzibar (2012–2018)
4
Wakili wa Serikali Dhamana — Mahkama za Mikoa, Afisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka (2009–2011)
5
Wakili wa Serikali Dhamana — Mahkama za Wilaya, Afisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka (May–July 2007)
6
Wakili wa Serikali na Mwendesha Mashtaka — Afisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka (2003–2007)
7
Afisa Mipango Msaidizi — Kamisheni ya Kazi, Zanzibar (1998–1999)
Imesasishwa mwisho: Novemba 2025