Namna Watumishi Wanavyoweza Kupata Fao la Kuumia Kazini kutoka Zssf
Makala hii inaelezea namna ya Watumishi wanavyoweza kupata Fao la kuumia kazini kutoka ZSSF
Soma zaidiHuduma zinazotolewa na Afisi ya Mwanasheria Mkuu Zanzibar
Makala hii inaelezea namna ya Watumishi wanavyoweza kupata Fao la kuumia kazini kutoka ZSSF
Soma zaidi
Makala hii inaeleza kuhusu taratibu za ulipaji fidia kwa wananchi pale haki yake ya matumizi ya...
Soma zaidi
Makala hii inatoa ufafanuzi wa ukomo wa madai ili kuhakikisha kwamba madai yanawasilishwa kwa w...
Soma zaidi
Makala hii itajikita kuzungumzia uchaguzi wa Zanzibar baada ya Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1...
Soma zaidiAngalia taarifa mpya na matukio muhimu kutoka Afisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali
Dkt. Abdul-Nasser akabidhi majukumu kwa Mkurugenzi wa Rasilimali Watu, Utawala na Mipango Bi. Fatma Idd huku wakihimiza ushirikiano kwa wafanyakazi.
Afisi ya Mwanasheria Mkuu Zanzibar imetoa mafunzo ya mbinu za utafiti wa sheria kwa watendaji wake ili kuwaongezea maarifa na kuwajengea uwezo wa kufanya tafiti, kupata vyanzo vya taarifa na kuandaa ripoti za kitaalamu kwa lengo la kuimarisha utendaji wa kazi.
AGCZ na ZDCEA yapata ushindi katika Maombi ya Madai ya Na. 10 ya Mwaka 2024.
Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Dkt. Mwinyi Talib Haji, amesema Afisi yake imewapandisha madaraja Mawakili wa Serikali Hamsini na Nane (58) kutoka wizara na taasisi mbali kuwawezesha mbali, ili kutekeleza vyema majukumu yao.
Tembelea video zetu kuhusu masuala ya kisheria, elimu kwa umma, na matukio muhimu.
Afisi ya Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar kwa kushirikiana na Benki ya CRDB imefanya mafunzo kwa Mawakili wa Serikali ya Mapinuduzi ya Zanzibar kuhusu Mikataba yaliyofanyika Ukumbi wa Hotel ya Madinat Al Bahr, Mbweni Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amemuapisha Dkt. Mwinyi Talib Haji kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar kwa kipindi cha pili.
Taarifa rasmi kutoka Afisi ya Mwanasheria Mkuu Zanzibar
Tafadhali rudi tena baadaye kuona taarifa mpya.